carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Naomba niku ben10 mimi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Haki ya Mola wangu
Hahahaaaa
Uwiii....
[emoji124] [emoji124] [emoji124]ngoja nimtafute ISIS anipe siri ya kum-Ben10-nika mzee wa liver.
Na mimi natamani mtu ani-Ben10-nike nifaidi ya dunia
Nilisubiri wee hakuna kitu. Ndo maana nikadhani pengine kale kasineki kamefanya yake. Kwema lakini?
"Nyuraa" aliaga kwenda kulala...Ulisubiri wapi?
Wakati ulibaki huku wabembeleza[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema namshukuru Mungu,sijui huko uliko.
Kale kajoka naimani watakauwa maana.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Nyuraa" aliaga kwenda kulala...
Jirani wa mtu akachombezwa na "mtwangio na kinu" na "Nyuraa"
Jirani wa mtu akakazia "mtwangio sijui uenee kwenye mkono na kinu sijui kiweje?!!! Yaani mnato"...
Shemeji kipenzi akagoma kwenda aliko hitajika...
Kulinda " Nyuraa" maana jarani wa mtu hana maana siku hizi...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] majina ya nini? Kwani nataka kusutwa kwa umri huu nilio nao???