[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni mtu ninayejulikana
Ngoja nipige picha ya meno yangu niilete hapa kabla hatuja onana. Kwa matumizi ya baadaeSina Nissan nyeupe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbisha zamani saaana kijijini kwetu.Kama hujawahi lala njaa after sister yako kutumwa kusaga na badala ya kuleta unga akaenda akatoroshwa pamoja na unga hakuna shida unajua*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]