Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu jamaa angekuwa anaukumbatia weusi wake na kuonyesha angalau kujali kidogo mambo wanayohangaika nayo weusi wenziye ingesaidia sana. Nadhani huwa anajilaumu kwa nini ana weusi katika damu yake...
 
Huyu jamaa angekuwa anaukumbatia weusi wake na kuonyesha angalau kujali kidogo mambo wanayohangaika nayo weusi wenziye ingesaidia sana. Nadhani huwa anajilaumu kwa nini ana weusi katika damu yake...

Hilo ni tatizo kubwa alilonalo huyo Mheshimiwa. Yaani yeye hajihesabu kama ni mweusi, kiboko yake ambaye huwa anampatia ni Charles Barkley. Jamaa huwa hamkopeshi, si unaona hata wale call girls wake wote ni blonde! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…