Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

438719523_286553.jpg
 
Hilo ni tatizo kubwa alilonalo huyo Mheshimiwa. Yaani yeye hajihesabu kama ni mweusi, kiboko yake ambaye huwa anampatia ni Charles Barkley. Jamaa huwa hamkopeshi, si unaona hata wale call girls wake wote ni blonde! [emoji23][emoji23]
Charles Barkley Phoenix Suns
Basketball legend jamaa alikuwa anajua sana lakini alitokea kipindi cha Michael Jordan yuko fire,Scottie pippen ,Deniss Robman ,hile Chicago Bulls ilikuwa moto Mara moja
 
Back
Top Bottom