Kama unafanya kazi zinazohitaji matumizi makubwa ya computer basi hakikisha kila baada ya dakika 20 pumzisha macho kwa kuangalia pembeni ama juu kwa sekunde 30. Kisha kila baada ya masaa mawili chukua breki ya dakika 15 bila kutazama mwanga wa kompyuta yako.
Kama macho yako yakiwamakavu basi fanya zoezi la kufumba na kufumbua *blinking* kwa mda kisha endelea na kazi zako.
· Kama tatizo la macho likiendelea basi hakikisha unaonana na dactari wako ili kupata
ushauri Zaidi.
4. 4. FANYA VIPIMO VYA MARA KWA MARA KUHUSU MACHO.
Kila mmoja wetu ni muhimu kufanya vipimo vya macho mara kwa mar ahata kwa watoto, itasaidia kugundua magonjwa mapema na kuyatibu. Magonjwa kama Glaucoma ambayo tuauangalia kiundani siku zijazo, huwa hayajioneshi mapema, na dalili zake hazionekani haraka, lakini ugonjwa huu huendelea kushambulia neva za macho na baadae kuletekeza upofu wa moja kwa moja.
VIRUTUBISHO VINAVYOFAA KWA AFYA YA MACHO KUTOKANA NA UTAFITI WA KISAYANSI.
1. I POWER
Ni kirutubisho kilichozolea sifa lukuki katika nchi mbalimbali za Asia kama China, Tibet na Vietnam, kutokana na uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa hatari ya macho, kukinga macho kutokana na athari za sumu mbalimbali, na kuongeza uwezo wa kuona. Kirutubisho hiki kinajumuisha viambata kama, Lutein, Blueberry extract na Vitamin A ambavyo kwa pamoja vitakusaidia.
Kupunguza na kuondoa athari za ukavu wa macho na kuongeza uwezo wa macho kuona kulikoathriwa na matumizi makubwa, ikiwemo warumiaji wa vifaa kama computer, television na simu.
· Kuzuia athari na hatari ya maambukizi kwenye macho.
· Kuzuia magonjwa kama cataracts na macular degeneration na glaucoma.
· Kupambana na maumivu ya macho
KIRUTUBISHO hiki kinawafaa Zaidi makundi ya watu hawa
v Watu wote ambao kazi zao zinahitaji umakini wa kutumia macho kwa kiasi kikubwa na kwa mda mrefu kama madereva, na watumiaji wa computer.
Wanaohitaji kupunguza hatari ya kuugua magonjwa yanayotokana na kufeli kufanya kazi kwa baadhi ya sehemu za macho, magonjwa haya tunaweka kundi la (degenerative eye diseases kama glaucoma, macular degeneration na retinopathy)
v Wagonjwa wote wa matatizo ya macho.
2. OMEGA 3 SOFTGEL
Kutokana na tafiti mbalimbali za kiafya ,Kirutubisho hiki ambacho hutengenezwa kwa Mafuta ya omega 3 ambayo hupatikana kwa wingi kwenye vyakula kama samaki, husaidia
Kulinda macho dhidi ya magonjwa kama Macular degeneration na ukavu wa macho. Na
· Kusaidia kurahisisha utoaji wa kimiminika kwenye macho (intraocular fluid) na hivo kupunguza hatari ya kuongezeka kwa presha ya macho.
MUHIMU ILI KUTIBU MATATIZO YA MACHO
Zingatia kumwona Dactar mara kwa mara kufanya vipimo na kufuata maelekzo na utaratibu wa kiafya utakaopewa. Kama tayari una matatizo ya macho kama tulivoainisha tunashauri kujaribu package yetu ya siku 30.
ANGALIZO
kumbuka afya yako siyo dhamana ya mtu, afya yako ina thamani kubwa kuliko pesa unayotoa hivo usiangalie gharama za dawa na kuamua kwenda mitaani kununua dawa za bei nafuu halafu ukaendelea kuwa muhanga na kuteseka na matatizo yako.