Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

26263FFC-614B-4C9C-A7D9-E1A2A6EDD600.jpeg
 
Ukute swali lenyewe ni la "Discuss" au " Briefly explain" kwenye Entrepreneurship au Economics,mzee baba kingereza ni cha kuanza na "the the...then...therefore... (Kwa tulio soma somo la siasa acha tu) unatiririka tu ili mradi uonekane umeshiriki kufanya mtihani kama " mgeni wa hiari"...
 
Sasa wakati umepangilia vitu vyote hivyo, na wakati huo huo mtu akakuuzi au ukakasirika kwa muda mrefu, je ulishajiuliza hasira hizo unazozibeba zinakupotezea muda kiasi gani? Maana ni hatari sana kukasirika kwa muda na kusahau kufanya majukumu mengine ya msingi.
 
Maana Unaweza ukakasirika wee, ukapoteza muda mwingi ukiwa na hasira, lakini yote hayo kumbuka hayakuwepo kwenye ratiba zako, kikubwa jua kabisa hapo utakuwa unapoteza muda wako bure kwa kujibebesha mzigo unaokuumiza lakini ambao hukutakiwa kuwa nao.
 
Ukute swali lenyewe ni la "Discuss" au " Briefly explain" kwenye Entrepreneurship au Economics,mzee baba kingereza ni cha kuanza na "the the...then...therefore... (Kwa tulio soma somo la siasa acha tu) unatiririka tu ili mradi uonekane umeshiriki kufanya mtihani kama " mgeni wa hiari"...
Kaaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom