BAK mambo
Anaongelea lile laini kabisa mdebwedo 60+ inches, kiuno cha nyigu mbuzi kagoma ndiyo unalipa kimdabuo fulani hivi halafu unaangalia kanuni za Isaka Niutoni na gravity zikifanya kazi laivu...Say what?
Hahahaha shimba bana"U slap it and watch it vibrate" [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo rolo modo wako ni tatizo sana...
Mashikolo mageniLikes ndio nini
Hahaha ilete si unapumzika tu kwa muda hahahaKuna gif hapa ujue. Utanifanya nipigwe ban bure. Siku inaendeleaje?
Aiseee!!! "like laini kabisa mdebwedo 60+ inches".....Anaongelea lile laini kabisa mdebwedo 60+ inches, kiuno cha nyigu mbuzi kagoma ndiyo unalipa kimdabuo fulani hivi halafu unaangalia kanuni za Isaka Niutoni na gravity zikifanya kazi laivu...
Kwema mkuu?
Sipo juu sipo chini nipo hewani, nabembeaMazoezi ya ubongo. Muhimu sana !!!
View attachment 713592
Kwema ndugu yangu. Wapwa zangu na mama yao wanasemaje huko. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Aiseee!!! "like laini kabisa mdebwedo 60+ inches".....
Mwache myoyambendi aendelee kujilipua kwa pipi na mitwangio ya kukobolea...
Siku inaendaje mkuu..