Hahahahaha aiseeeAnaongelea lile laini kabisa mdebwedo 60+ inches, kiuno cha nyigu mbuzi kagoma ndiyo unalipa kimdabuo fulani hivi halafu unaangalia kanuni za Isaka Niutoni na gravity zikifanya kazi laivu...
Kwema mkuu?
Guu linalowatoa mapovu haters hahahaLimguu lake mbona leo kalifunika? Huwa linanilegezaga kabisa kiYego Yego...
Big up to beauty and brains
Kijana mpole za jion?Fear
Asante binti mpole jioni yangu ni njema kibaridi kwa mbali slow music na likesKijana mpole za jion?
Nimeisevu hii huwezi jua katika pita pita zangu huko Duniani
Jioni murua kabisa kwa hewa shawishi kwa kilimo cha mitama,mahindi maharage uwele,sungwi karanga etcAsante binti mpole jioni yangu ni njema kibaridi kwa mbali slow music na likes
Viph jioni yako Binti mpole
Save na hiiNimeisevu hii huwezi jua katika pita pita zangu huko Duniani
Ya kwanza ndio yenyewe pale kwenye shavu paleSave na hiiView attachment 713665, wenye mali wakikukamata mie simoo