Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Huyu dada nikikutana naye namuosha kwanza make upSave na hiiView attachment 713665, wenye mali wakikukamata mie simoo
Kama akifikia nusu ya uzuri huu asipo kuwa na make up basi she is a queen
Huyu dada nikikutana naye namuosha kwanza make upSave na hiiView attachment 713665, wenye mali wakikukamata mie simoo
Kilimo!!! Unaenda shambani usiku??Jioni murua kabisa kwa hewa shawishi kwa kilimo cha mitama,mahindi maharage uwele,sungwi karanga etc
Jamaa anependwa eeehe
Hahahahaa acha hizo bana wewe sifia hivyo hivyo na make up yakeHuyu dada nikikutana naye namuosha kwanza make up
Kama akifikia nusu ya uzuri huu asipo kuwa na make up basi she is a queen
Heee huu ugonjwa mpya,unapenda shavu!?Ya kwanza ndio yenyewe pale kwenye shavu pale
Pita mitaa ya Rocky City bro. Yu neva nooo...Nimeisevu hii huwezi jua katika pita pita zangu huko Duniani
Ubuyu unasema keshakula kipondo toka kwa shishi trumpJamaa anependwa eeehe
who is your favorite player for MAN UNITED??
Mzee wa 10 akiona hii roho itauma sana !!!
Mwakaleli au Punjab?
Kama ndo hilo shavu lako nalipenda MnoHeee huu ugonjwa mpya,unapenda shavu!?
HahahahaHahahahaa acha hizo bana wewe sifia hivyo hivyo na make up yake
Mbona mbali hivyo aende insta cutelooksdar hahahahPita mitaa ya Rocky City bro. Yu neva nooo...
Kabisa broPita mitaa ya Rocky City bro. Yu neva nooo...
Hata simfahamu maana picha nimeiokota insta page ya cutelooksdarHahahaha
Ni mzuri sana ndio maana nimesema i will take her half beauty without makeup.
Anaitwa nan?
Masiara yaani kapigwa?Ubuyu unasema keshakula kipondo toka kwa shishi trump
Jion saiv sio usikuKilimo!!! Unaenda shambani usiku??