Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3. ENEO UNALOTAKA KUFUGIA.

Unapojua tayari malengo uliyonayo katika ufugaji na kujua aina ya kuku unaotaka kuwafuga sasa utakuwa na picha nzuri juu ya ufugaji wako, baada ya hapo unahitaji kujuwa ENEO GANI UNALOTAKA KUFANYIA UFUGAJI hii itakusaidia kujuwa mali ghafi ambayo itatumia katika banda lako, ni muhimu sana kuandaa eneo la kufugia mapema mara tu ya kuweka malengo yako ya ufugaji, jua eneo la kufugia mifugo yako.
 
4. GHARAMA ZINAZOHITAJIKA KATIKA KUFANYA UFUGAJI WAKO.

Baada yakujuwa malengo eneo unalotaka kufanyia shughuli zako za ufugaji ni muhimu sana kuchanganua gharama zitakozotumika katika kuanza ufugaji gharama hizo ni pamoja na banda, chakula, chanjo na tiba, hii itakusaidia kuweka mipango yako sasa ili uweze kufanya ufugaji wako kwa ufanisi mzuri
 
5. ANZA NA ULICHONACHO.

Hii ni jambo la muhumu sana katika kutimiza malengo ya aina yeyote, ni muhimu kuanza na kile ulichonacho usisubiri hadi uweze kujipanga vizuri sana kwasababu unapoanza inakupa hamasa ya kuendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhusu ufugaji. Anza na kuku idadi yoyote, kama ni kumi, hamsini au hata mia mbili kulingana na uwezo ulionao, kikubwa anza na ulichonacho.
 
438711875_309329.jpg
 
Kilimo cha watoto bro...

Rocky City kuna mvua leo...

Hali ya hewa shawishi....

Think !!! [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Sijui ninashida gani
 
3. Hatua ulizonazo.
Umeona mawazo ulionayo na maamuzi uliyonayo ni mojawapo ya nguvu kubwa uzilizona ndani mwako za kimafanikio. Lakini hata hivyo nguvu hizo haziwezi kufanikiwa bila kuchukua hatua. Inabidi ifike mahali uamue kuchukua hatua ili kufanikiwa.
Hatua unazozichukua ndizo zitakazokufanya uweze kufanikiwa. Hata uwe na mawazo mazuri na maamuzi mazuri vipi lakini itakulazimu uweze kuchukua hatua ili hatua hizo zikuletee uhalisia wa kile unachokitaka kwenye maisha yako.
Kumbuka, mawazo uliyonayo, uamuzi unaouchukua na hatua unazozichukua ni moja kati ya nguvu kubwa sana za kimafanikio ambazo unatakiwa uzitumie ili uweze kufanikiwa. Kwa kumiliki kwako nguvu hizo utakuwa na nafasi kubwa sana ya kuweza kufanikiwa.
 
5. ANZA NA ULICHONACHO.

Hii ni jambo la muhumu sana katika kutimiza malengo ya aina yeyote, ni muhimu kuanza na kile ulichonacho usisubiri hadi uweze kujipanga vizuri sana kwasababu unapoanza inakupa hamasa ya kuendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhusu ufugaji. Anza na kuku idadi yoyote, kama ni kumi, hamsini au hata mia mbili kulingana na uwezo ulionao, kikubwa anza na ulichonacho.
 
Nguvu Kubwa Tatu Za Kukusaidia Kufanikiwa.
Sijui sana kama unajua una nguvu kubwa sana za kuweza kukusaidia kufanikisha jambo lolote unalo lihitaji katika maisha yako. Nguvu hizo unazo, bila kujali unajua kivipi au hujui lakini nguvu hizo zipo ndani mwako.
 
1. Mawazo uliyonayo.
Nguvu zako nyingi ulizonazo na ambazo zinaweza kufanya kitu chochote ukitakacho, zinaanza kwenye mawazo yako kwanza. Mawazo yako yana nguvu na kuumba kitu chochote unachokitaka na kikaonekana kwa nje.
Hebu jiulize ni kitu gani ambacho hakijianzia kwenye mawazo? Kila kitu unachokiaona kipo duniani kwanza ni matokeo ya mawazo. Unapoana gari au majumba makubwa hayo ni mawazo ya watu. Ukizingatia matumizi ya mawazo vizuri, utafanikiwa sana.
 
Ushahidi wa kutosha upo, unaonyesha nguvu hizo zipo, ndio maana, chochote unachokitaka ukiamua na ukapanga kweli, unaweza kukipata au maisha yako yapo hivyo yalivyo kutokana uwezo ama matumizi ya nguvu zako.
Mpaka hapa naona unashangaa na unajiuliza sasa nguvu zangu nitazijuaje au zipo kwenye nini? Sikiliza nguvu zako kubwa ulizonazo, zipo kwenye mambo makubwa matatu mabao yapo ndani ya uwezo wako mwenyewe.
 
1. Mawazo uliyonayo.
Nguvu zako nyingi ulizonazo na ambazo zinaweza kufanya kitu chochote ukitakacho, zinaanza kwenye mawazo yako kwanza. Mawazo yako yana nguvu na kuumba kitu chochote unachokitaka na kikaonekana kwa nje.
Hebu jiulize ni kitu gani ambacho hakijianzia kwenye mawazo? Kila kitu unachokiaona kipo duniani kwanza ni matokeo ya mawazo. Unapoana gari au majumba makubwa hayo ni mawazo ya watu. Ukizingatia matumizi ya mawazo vizuri, utafanikiwa sana.
 
2. Maamuzi uliyonayo.
Nguvu nyingine kubwa uliyonayo ndani mwako ambayo ukiitumia vizuri itakupa chochote ukitakacho ni maamuzi uliyonayo. Maamuzi yako ni ya muhimu sana katika kufikia mafanikio yako unayoyataka.
Angalia ni kitu gani unachokipata bila kuwa na maamuzi, utaona karibu kila kitu baada ya kuwa kwenye mawazo yako ni lazima kwanza ukifanyie maamuzi ambayo yatakupelekea ufanye kitu kile. Hakuna mafanikio utakayapata bila kuamua.
 
Back
Top Bottom