Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hio ndo siku niliyoona mwanafunzi kampiku mwalimu kwa ujanja na kufunguka zaidi hahaha
Rolo modo wangu. Nitajaribu tena kukutafuta nikifika Mwanza. Safari hii angalau tu nipate Mpesa yako nikurushie shukrani. Makonfidensi balaa yaani hapa nilipo I feel like Archimedes..."I can move the world"...
 
Huyu nduguyenu ni changamoto.
Anazidiwa hata na yego,kweli?
Atleast yego akija na story zake za mpira anapata attention kidogo,ila huyu mwingine huyu hovyo kabisa[emoji19][emoji19]
 
Rolo modo wangu. Nitajaribu tena kukutafuta nikifika Mwanza. Safari hii angalau tu nipate Mpesa yako nikurushie shukrani. Makonfidensi balaa yaani hapa nilipo I feel like Archimedes..."I can move the world"...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Tushakupoteza wewe
Eti "i feel like archimedes"....
 
Usiku wa kupeana

Usiku wa burudani

Poleni wasafiri

Good night tanga

Good night mwanza

Good night Tanzania

Shikamoo mama yangu Tanzania

Maadui zangu wote wafe


Huyu mzee anazeeka vibaya saksifon langu limemkosea nini

You slap it and watch it vibrate

Wine anyone!

X

Arrow

Shikamoo daddy

Daddy kalale

Shemeji kipenzi utaumwa usingizi kalale

Pimbi ukuje kuna kesi yako huku

Za jion

Za kunyimana likes

Za kubinya likes

Parachichi nene,refuu

Dikteta uchwara

Ban mwaka huu sijaichezea sana

Paranoiz
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shemejiiiii

Binti: njoo unirenge...

Kijana: mh!!,nisije nikakuumiza jicho bure

Binti: ndi maana unafeli...

Kijana: hi hi hi hi hiiiii...

[emoji124] [emoji124] [emoji124] idiotiiiii...
 
Huyu nduguyenu ni changamoto.
Anazidiwa hata na yego,kweli?
Atleast yego akija na story zake za mpira anapata attention kidogo,ila huyu mwingine huyu hovyo kabisa[emoji19][emoji19]
Yego. Wote wale wale tu. Wakitingishwa kidogo tu haoo mbio. KaYego masikini mpaka nakahurumia samutaimu. Kanakurupuka kanajimwagia miredi waini everewhea na kinachokimbiwa ukiangalia hukioni. Waongee na Andjul wapate ushauri vinginevyo wataendelea kuteseka tu. It hurts !!!
 
Numby umeanza kuchizi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!
We mzee wewe.
Eti idiotiii

Huu uzi unaraha yake jamani.
 
Nimecheka mpaka nimepaliwa kitimoto changu. Huu uzi ni changamoto kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ongezea na "Nimekununia"...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bonge la rimiksi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…