Oohoo madilu alipofariki nilikua xul
Weuweee andaitini,ningeoa mapema saiv ungekua mjukuu wangu
Madilu kaleta kasheshe juu ya kasheshe from andaeitin mmoja ndani ya uzi kukawa na andaeitin tele na wahenga wachache
Shukran bwana empty set akatuongezea andaitin wengine maana yeye tu ndo muhenga wa 53 ruuuuubiiiisssssssshhhhhhh weuweee