Basi bhana kuna wanaume wengine akimwacha mwanamke anataka kusikia aliharibikiwa, alishindwa, hawezi kutoka ndani, hawezi kusoma, hawezi biashara au chochote - Na kweli wanafanikiwa kwa kiasi kikubwa.. Unakuta mdada umeumizwa kimapenzi au umeachana na mumeo unaona dunia imekuangukia.. Huwezi kunyanyuka wala kulala vizuri, unalia kila wakati kubembeleA arudi.. Wakati mwenzio anaendelea na maisha yake kashakusahau zamani.. Wewe ndo unajikumbusha kumbusha ujinga - Why usijaribu kusahau..ni ngumu ila fanya Kuyaacha nyuma na kusonga mbele? Mwoneshe unaweza kuinuka bila yeye.. Unaweza kufanya kazi, kuanzisha kitu, kusoma, kulea watoto hata kujenga nyumba bila yeye... Hicho ndo kisasi pekee kitakachomtesa... So jitambulishe tena onesha wewe halisi ni nani!!