Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445203249_229312.jpg
 
Morning ng'wanike wane. Naleja gulala lulu ihaha. Naguguyombisha ntondo ntogwa wane ulugiki Seba utogwa. Ikalaga mhola na Mulungu Agulang'hane nkoyi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]...

==> Binti wa kishua hapo nimekuacha kwenye mataa. Suburi kaYego katakuja kakupe tafsiri. Naenda kulala miye...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
MATUMIZI SALAMA YA ASPIRIN
Aspirin ni dawa inayotumika kutuliza maumivu na uvimbe(inflammation) katika mwili. Dawa hii pia hutumika kutuliza homa pamoja na kuzuia matatizo ya moyo(atherosclerotic plaque), saratani ya utumbo mpanana(colorectal cancer), kiharusi endapo daktari ataona ni vema. Aspirin hutumika kutuliza maumivu ya kichwa, mgongo,meno, misuli na mengine yanayofanana na hayo. madhara(side effects) za aspirin zinatofautiana kulingana na umri, hali ya kiafya pamoja na kiasi cha dawa kilichotumika.
 
1. WATOTO
Aspirini haishauriwi kutumika na watoto wadogo kwani zinaweza kusababisha ugonjwa uitwao Reye's syndrome. Ugojwa huu mara nyingi huwapata watoto wenye umri chini ya miaka 12 ambao wanatumia aspirin mara kwa mara. Imegundulika kwamba watoto wenye magonjwa kama tetekuwanga wana hatari kubwa zaidi ya kupata ugonjwa huu baada ya kutumia aspirin. Ugonjwa huu hushambulia ini na ubongo na unaweza kusababisha kifo kama mtoto hatapata matibabu haraka.
 
Dalili hizi hutokea baada tu ya kupona ugonjwa wa mafua au tetekuwanga.
Uwepo wa ugonjwa huu unaweza kugundulika kwa kupimwa damu au mkojo na matibabu ya haraka yanahitajika ili kuzuia madhara makubwa zaidi kwenye ubongo pamoja na ini ambayo yanaweza kusababisha kifo.
 
Back
Top Bottom