Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
PameshakuchaaaaKaYego kamepatapo kaupenyo. Nitaomba mrejesho kukicha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PameshakuchaaaaKaYego kamepatapo kaupenyo. Nitaomba mrejesho kukicha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amen binti mwema usiye na makuu na unayeishi vyema na majirani zetu. Mungu Akulinde pia [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwema Sana Tumshukuru Mungu [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] . Ulale salama SYB malaika Wa Mungu wakulinde
Aspirin ndiyo dawa nambari wani duniani kuwa abused. Wengi hudhani haina madhara !!!Madhara yatokanayo na matumizi ya kiasi kikubwa cha aspirin kwa muda mfupi(Acute aspirin poisoning )
Maumivu makali ya tumbo
Kichefuchefu na kutapika
Aspirin + Redbull + Jibapa + show ya kibabe = front page magazeti ya Shigongo....Madhara ya aspirin huongezeka pale inaponywewa pamoja na pombe, kwani husababisha damu kuvuja kwa wingi tumboni kwa watu wenye vidonda vya tumbo
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Amen kijana mpole[emoji23]Amen binti mwema usiye na makuu na unayeishi vyema na majirani zetu. Mungu Akulinde pia [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
KaYego kamepatapo kaupenyo. Nitaomba mrejesho kukicha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeelewa sana tuMorning ng'wanike wane. Naleja gulala lulu ihaha. Naguguyombisha ntondo ntogwa wane ulugiki Seba utogwa. Ikalaga mhola na Mulungu Agulang'hane nkoyi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]...
==> Binti wa kishua hapo nimekuacha kwenye mataa. Suburi kaYego katakuja kakupe tafsiri. Naenda kulala miye...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
GoodnightMungu Awape siku njema na iliyojaa mibaraka tele wapendwa. Hata uwe unapita katika magumu kiasi gani, kamwe usikate tamaa kwa sababu magumu hayo kwa hakika ni ya muda tu na yatapita. Mungu Hatakuacha !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahaah poleeeWe ushatibua tayari. Ameshastuka sasa, wewe nae! [emoji1]
Haha
Hahaah poleee
Hahahaa wasalimie ndotoniNgoja nianze tu mdogo mdogo! Kimeshanuka hapa! [emoji1][emoji1] Muwe na siku njema wote! [emoji124][emoji124]
naenda kulala sasa takusemesha kesho yake ikiwa mung akipenda kaa salama na mung akulinde rafiki
Hahaha
Wewee hebu nipongeze banaUme skip mengi tu hapo! [emoji23][emoji23]
Wewee hebu nipongeze bana