Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaaa, we mjanja sana! Basi ngoja niende zangu ziwani nikavue samaki! Baadae kidogo na uwe na siku njema!
29090015_2097944723822021_5534998532735369216_n.jpg
poa utanikuta hapa hapa
 
Mungu Awape siku njema na iliyojaa mibaraka tele wapendwa. Hata uwe unapita katika magumu kiasi gani, kamwe usikate tamaa kwa sababu magumu hayo kwa hakika ni ya muda tu na yatapita. Mungu Hatakuacha !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwa spidi ya Maulana Mola wangu!
 
Hakika Mungu ni mwema,kila kitu kina kwenda kwa wakati ili kusudi lake litimie.

Haya,kule umeenda kumuona? Anaendeleaje?
Nimekuja kumuona,niko huku tangu jana.
Anaendelea vizur sana nashukuru Mungu,japo kama wiki3 zilizopita alipata ajali,ila yuko vizuri sana.
Asante kwa kujali shem[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom