Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

B1CC22F3-A87A-49A3-8D73-BCD22C898232.jpeg
 
Hakika Mungu ni mwema,kila kitu kina kwenda kwa wakati ili kusudi lake litimie.

Haya,kule umeenda kumuona? Anaendeleaje?
Nimekuja kumuona,niko huku tangu jana.
Anaendelea vizur sana nashukuru Mungu,japo kama wiki3 zilizopita alipata ajali,ila yuko vizuri sana.
Asante kwa kujali shem[emoji120][emoji120]
Mmmh wachoyooo,ubuyu wa pm mnakuja
Pole sana. Mbona haukuniambia mama?
Mungu aendelee kutenda ili arudi kwenye afya yake. Mpe pole sana
Kuongelea huku robo robo si mfunguke tu jaman
 
Back
Top Bottom