Ben10 wa bi sandra mbona hayupo?Ubuyu kama huu,cheki walivyopooza red kapetiView attachment 715482
Kama naiona Nungwi....Aaah iacheee
Hivi Yego kweli ni msolid? Au ni ile hali ya kukataliwa na kila anapo gusa?Ka yego haka hahahahView attachment 715476
Msolid wapi?Hivi Yego kweli ni msolid? Au ni ile hali ya kukataliwa na kila anapo gusa?
Wapi nsamaka? Alionyesha matumaini kwa Yego...
Na kweli,kajamaa mashoo ofu kibao na viwaini vyake nusu glasi na tumaua twake twa kitapeli... Leo hii msolid!!Msolid wapi?
Mlaini tu yule.
Sema ana kauli za kujifariji[emoji23][emoji23][emoji23]
Ben10 wote walikuwepoBen10 wa bi sandra mbona hayupo?
Ila mondi kacheza rafu sana kwa zari.
Hahahahah itakua hiviKama naiona Nungwi....View attachment 715489
Weee nsamaka si wa mchezo mchezo,kutiki angesarenda mapemaaaHivi Yego kweli ni msolid? Au ni ile hali ya kukataliwa na kila anapo gusa?
Wapi nsamaka? Alionyesha matumaini kwa Yego...