Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ugonjwa huu pia huweza kuenezwa kwa kuchangia sindano na mtu ambaye tayari ameambukizwa ugonjwa wa homa ya manjano na pia kuwekewa damu au kupandikizwa kiungo cha mtu aliyeathirika kunaweza kusababisha maambukizi.
 
NJIA ZA KUJIKINGA NA HOMA YA MANJANO
Mbinu za kujikinga na homa ya manjano zinahusisha kujikinga kuumwa na mbu, na nyingi zinafanana na zile za kujikinga na malaria pamoja na dengue fever. Zifuatazo ni baadhi ya njia za kujikinga na homa ya manjano
:
 
Vaa nguo ndefu zinazofunika mwili vizuri
Pulizia dawa ya mbu kwenye nyumba ili kuua mbu
Tokomeza mazalia ya mbu kwa kufukia maji yaliyotuama, ikiwa na pamoja na makopo, vifuu pamoja na vitu vingine vinavyoweza kukinga maji.
 
28435150_945294192299588_5862959662772518912_n.jpg
 
Kula kiasi kidogo cha chocolate kwa siku ni njia nzuri ya kupata antioxidants kwani chocolate ina kiasi kikubwa cha flavonoids.
Pia, chocolate ina uwezo mkubwa wa kutibu matatizo ya moyo na
kufanya mzunguko wa damu uende vizuri
Wanawake wa Sweden ndiyo wanaongoza kwa ulaji wa chokleti nyeusi (70%+ cocoa) na ndiyo wanaongoza kwa kutosumbuliwa na magonjwa ya moyo duniani. Wanasayansi wanasema mbali na faida zingine chokleti nyeusi husaidia kulainisha mishipa ya damu na kusaidia damu izunguke vizuri; na kuondoa lehemu mbaya....
 
UNLIMITED DATA
tanatoa huduma ya
Unlimited data:
(Hi utaweza tumia internet bila kikomo,huna hja kuhofia mb wala Gb kuisha,ukiwa nchi yoyote pia kwa matumizi ya mtandao wowote)
Hizi ni bei za chini saaana kwa data hi:

Unlimited data mobile:
1mb/s=3month=15,000.



[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Unlimited data mobile plus
Unlimited mb/s:
3month=30,000
6month=55,000
1year=95,000.

Data for Desktop (PC)+mobile nk..
3month=58,000
6month=190,000
1year=340,000.

Data hi ipo spidi,haina scratch .Na iwapo itascratch tutakurudishi pesa yako.
Wasiliana nami moja kwa moja
0621 072 026
 
Back
Top Bottom