Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


20180315_070818.jpg
 
Hivi Yego kweli ni msolid? Au ni ile hali ya kukataliwa na kila anapo gusa?
Wapi nsamaka? Alionyesha matumaini kwa Yego...
Yego ana shida kuu mbili:

(1) Kutumia mbinu zile zile katika kila "vita". Kwenye Military Tactics 101 mnapewa kitabu cha Art of War (Lao Tsyu?) ili mkisome kwa uangalifu. Jambo moja linalosisitizwa sana katika kitabu kile ni hili "Kamwe usimfanye adui yako akajua na hata kutabiri mbinu na uwezo wako wa kijeshi". Sasa Yego yeye mbinu zile zile zilizoshindwa tena na tena, zinazojulikana na kila mtu na zinazotabirika kazifanya ndo MO yake: Maboksi ya red wine, maua, high heels na magauni ya rangi ya bluu.... Mabinti walishazoea...

(2). Akitingishwa kidogo tu huyoo mbio kwenda kujificha ziwani. Binti wa Kiafrika aliyelelewa vyema si lazima akutingishe kwanza? Sasa kila ukitingishwa unasarenda kweli utampata mtu? Sometimes inabidi uwe king'ang'anizi...

Akirekebisha haya mambo mawili kijana ana potential kubwa sana na mabinti wanaona; na naamini wanamlia taimingi tu...
 
Mbona wewe haukuiweka ya slap na vibrate GIF
Jamaniiiii....

Haya nielekeze iliko nikaangalie mwenyewe...

Slap it and vibrate ningewavunjia heshima nyie dada zangu humu. Milango minene ya Magogoni inaonekana... [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom