Poa baby shem,za wewe?mambo zenu
Numbisa wa zamani alikuwa roboti yule. Hatumtaki hata kumsikia. Shimba wa zamani anarudi taratibu - fulu upolee na kutoa maelezo na kufafanua mambo...Nataman numbisa wa zaman arudi no maswali tule likes
Shimba anajibu sawa mkuu nimekuelewa hahahahaa shimba wa zaman mpooleee
Ntajibu baadae daddy in jakitoo's voice
Ya juzi juzi ile kama tejaSi ile ya kipindi kile?
Ama hii ya juzi na mwandishi wa eat
Itakuwa alisahau kuweka filter
muzuri tu umejificha humuPoa baby shem,za wewe?
Yule numbisa ndo mzuriNumbisa wa zamani alikuwa roboti yule. Hatumtaki hata kumsikia. Shimba wa zamani anarudi taratibu - fulu upolee na kutoa maelezo na kufafanua mambo...
Hii tai kwa Mkerewe inasadifu kabisa. Hujakosea !!!Nakuona na tai yako
View attachment 715692
Utafikiri hata kameelewa kilichosemwa. Kubahatisha tu !!!
HahahahUtafikiri hata kameelewa kilichosemwa. Kabahatisha tu !!!
Ile ya kipaja ka cha kuku?nimeiona[emoji23][emoji23]Ya juzi juzi ile kama teja