Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii nayo kali..!!

Musa: Wahsup
Aisha: I'm cool you?
Musa: Same, where are you chatting from?
Aisha: Arusha .
Musa: Okay,what's your favourite colour?
Aisha: Boo, do I look like a small girl to you? Stop asking irrelevant questions and ask reasonable INTELLECTUAL questions
Musa: Ok, how many molecules of sulphuric acid are needed to neutralise 5ml of sodium carbonate and 5 volumes of Tetraoxosulphate (vi) acid when calcium is heated at a temp of 200°C using nickel as a catalyst?
Aisha: My Favourite colour is brown and you?
 
NB:
Nanasi lina sukari nyingi sana, na ni vizuri kula vyakula kama hivi kabla ya kufanya zoezi ili kuupa mwili nguvu sababu inapunguza kiwango cha sukari kwenye damu. Inabidi uwe makini tu kama una matatizo ya kisukari au unadhurika na sukari nyingi, sababu nanasi linaweza kukuletea madhara zaidi ya faida.
 
[emoji2] [emoji2] , kakimbia chemistry
 
Umeshawahi kosana na jamaa liko na nguvu libaunsa, linataka kukupiga, tena liko na hasira hadi linatetemeka, na wewe pia kwa kiburi cha uanaume ili usionekane kama mwanaume wa Dar na hutaki kuchoma picha, ikabidi ujijaze pia, lakini kwa roho unasema, "Mungu simama na mimi mtumishi wako, Bwana wa majeshi wacha ukaonekane mahali hapa, fanya hawa watu watushike tusipigane Mfalme wa Wafalme Mungu wa Eliya"?!!!​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…