Hapana sihitaji SYB, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unahitaji maua?
KaYego kakipita hapa jiandae kubeba lumbesa ya maua..... in
3.Kuimarisha macho
Nanasi lina kemikami inayoitwa beta-carotene ambayo ni muhimu kwa macho yenye afya. Ukiwa na nanasi kama tunda katika mlo wako kila siku unaongeza ufanisi wa macho na kuepuka kupata matatizo ya upofu umri unavyozidi kwenda.