myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
posti na likes
Mwisho wa siku ndoa kudumu mweziMbwembwe zingine bwana. Hapo wamechangisha watu weee !!!
Shingon kuna maandazi pia kavaa kaniki nyeusiMadenti macho kodokodo. Kwa umri huo wanachowaza kukila hapo sidhani kama ni hizo chapati pekee.....
Hahahaha kila siku humu itakua shikamoo mama jakitooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39] kausha brazaaa jamanii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mie sio andaeitini ukikutana na kimzeee ndo utajutaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo siyo mimi. Ni hizi akili uchwara hizi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shingon kuna maandazi pia kavaa kaniki nyeusi
Usiwaze mbali duh hahaha