Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmh huyu kanifanya niwashangae waafrika wenye umaarifu na pesa kidogo kushobokea wazungu daah. Katoto kazuri ila kama alipandikiza ina maana hakutaka ngozi nyeusi
Sasa kama mpenzi/mume wake ni mzungu afanye nini?
Mengine ni maamuzi na mapenzi tu ya mtu.
Si kila mwafrika lazima ampende ama azae na mwafrika mwengine.
Hatuwezi fanana wote.
 
Lakini meneja wa AC Milan Gennaro Gattuso alisisitiza kwamba haikufaa kuwa penalti.
"Kwa njia sawa ambapo mchezaji anaweza kufanya kosa, mwamuzi anaweza kufanya kosa," alisema.
"Hata mimi mwenyewe nilipokuwa mchezaji, ningejaribu kufaidi kutokana na nafasi kama hizo. Sitatoa hukumu kuhusu hilo."
Kiungo wa kati wa zamani wa England Jermaine Jenas aliambia BT Sport kwamba ni wazi Welbeck alijiangusha.
"Hilo linatia kasoro matokeo hayo kidogo. Ni Wenger mwenyewe aliyesema kwamba wachezaji wa England wameanza kuzidi katika kujiangusha; ilikuwa ni mmoja wa wachezaji wake leo."
Ushindi huo uliwawezesha Arsenal kufika robofainali katika michuano mikuu ya klabu Ulaya kwa mara ya kwanza tangu 2010.
Wakati huo waliondolewa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya na Barcelona kwa matokeo ya jumla ya 6-3.
Ikizingatiwa kwamba Arsenal wamo alama 12 kutoka eneo la kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya katika Ligi ya Premia, ushindi Europa League inaonekana kuwa njia yao pekee kwa sasa kwao kufuzu kwa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao.
 
Liverpool 'will give it everything' against Man City

Liverpool are one of just three teams to inflict defeat on Man City this season and Jurgen Klopp believes that Guardiola's men would not have wanted to see the Merseysiders' name being set next to theirs in the draw.
The German coach has acknowledged that the Reds are not going to be favourites to win the tie, but insists that they will "give it everything" as the club seeks a sixth European Cup.
"I’ve said it before and it’s still the truth, it’s always common in a draw that you’ll get your neighbour, more or less, but to be honest I don’t mind, really," Klopp told the club's official website. "It is exactly like it was before – we take what we’ve got. Now it’s Manchester City, let’s go.
"We’ve lost once and we’ve won once against them in the league – and I don’t think they thought before the best draw they could have got is Liverpool. That’s a sign for us and how strong we can be.
"We are for sure not the favourites in this round, but in the last eight there are not a lot of favourites - maybe two of them, Bayern and Barcelona – but thank god it’s football and nothing is decided. "We have a few games to play until then, but I am really looking forward to it and we will give it everything.”
 
Back
Top Bottom