Tukutane Mimi na wewe tuu wengine Kama hawataki[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Brazaaa...
Nyie kukutana si hamtaki. Mkiguswa "mi anonimazi foreva". Mnaudhiiii !!!
ASANTE. Naomba siku moja na ikawe hivyo. Nitafurahi sana !!!
Nitafurahi zaidi esp nikimuona SYB halisi sio huyu Wa keyboard[emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] tambarareee kwa Mungu tambarareee,tambarareee kwa Mungu tambarareee... Aaaa tambarareee[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443]Tuombe uzima [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Si ushamba,ni UTOFAUTI.
Wote hatuwezi kuwa sawa,you know?
Wabheja
Kwa watoto walio kulia kariakoo-gerezani,kufuata makungu shule ya uhuru mchanganyiko/mnazi mmoja kuna kujua kilugha kweli?!!!Akikujibu kwa kilugha chake nishtue [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Akili zangu uchwara? Zimechwarika lini?Akili za andjul
HahahahaAkili zangu uchwara? Zimechwarika lini?
Lakini na yeye kwanini kavaa kile cheusi!!
Bro nimeona nashukuru sana broBro, umeona?
Nimetimiza ile ahadi...
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa watoto walio kulia kariakoo-gerezani,kufuata makungu shule ya uhuru mchanganyiko/mnazi mmoja kuna kujua kilugha kweli?!!!
Bindoi bindoi[emoji124] [emoji124] [emoji124] tambarareee kwa Mungu tambarareee,tambarareee kwa Mungu tambarareee... Aaaa tambarareee[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa wewe. Kwema lakini?[emoji124] [emoji124] [emoji124] tambarareee kwa Mungu tambarareee,tambarareee kwa Mungu tambarareee... Aaaa tambarareee[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443]
Mbona Yego na Moud wamekulia hiyo mitaa na kilugha wanakinyaka vizuri tu. Au hili tatizo la kupotezea lugha za mama kwa watoto wa kishua lipo kwa mabinti pekee?Kwa watoto walio kulia kariakoo-gerezani,kufuata makungu shule ya uhuru mchanganyiko/mnazi mmoja kuna kujua kilugha kweli?!!!
Brooooo...Nimejikuta nacheka tu yaani. Simetimes hata sijui huwa unawazaga nini...I see a lady this evening who should have my baby
Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Bro nimeona nashukuru sana bro
Stay blessed bro