Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Utajuaje kuwa ni raha wakati huna kilinganishio? Raha za kukulia kijijini unazijua wewe? Na unajuaje kuwa hazizizidi zile za mjini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitajuaje wakati pale unasikia lugha za kihuni tu toka kwa wavuta bangi?
Ila kukulia town raha sana.
Waone !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bindoi bindoi
mama kanambia mwana maua kwaheri mwana maua