Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hili ndiyo tatizo lake kubwa. Eti anaulizia bei. Umeitwa ukafundishwe na mwalimu mwema namna hii halafu unauliza bei?Yego muoga, hapo anawaza ataanzaje kuja
Kwema kabisa. Habari ya majukumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa wewe. Kwema lakini?
Hata akijamba we inabidi ufokasi tu ili usiharibu mchoro...
Hahhaha! Mie nipo huku kwa BashiteSema kweli? Nipo hapa Motel Galu, Nansio! Embu nipe uelekeo ulipo wewe nije saa hii!
Numbisa aione hiyo...Mbona Yego na Moud wamekulia hiyo mitaa na kilugha wanakinyaka vizuri tu. Au hili tatizo la kupotezea lugha za mama kwa watoto wa kishua lipo kwa mabinti pekee?
Halafu alivyo muoga kataja location aliyo na uhakika nayo kuwa sitakuwa maeneo hayo.Hili ndiyo tatizo lake kubwa. Eti anaulizia bei. Umeitwa ukafundishwe na mwalimu mwema namna hii halafu unauliza bei?
Hata thumuni hutamchaji, ngoja tuone kama atakuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mkuu, hivi ni kweli uko home? Ulikimbia kipupwe ama? Niambie kama uko UK kweli na kama unategemea kurudi huku maporini...Sema kweli? Nipo hapa Motel Galu, Nansio! Embu nipe uelekeo ulipo wewe nije saa hii!
Hahhaha! Mie nipo huku kwa Bashite
Bure kabisa. Nitakwenda nolo sumuni yao..
Hili ndiyo tatizo lake kubwa. Eti anaulizia bei. Umeitwa ukafundishwe na mwalimu mwema namna hii halafu unauliza bei?
Hata thumuni hutamchaji, ngoja tuone kama atakuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].