Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilikuwa huko December/January. Marafiki wengi waligeuka busy ghafla. Uzuri na mimi nilikuwa sihitaji cho chote just kuonana na kujuliana hali lakini huwezi kumpata mtu hata wale ambao niliamini kuwa tuko in good terms kutokana na kusaidiana kwa muda mrefu. Na usirogwe ikitokea akawa kapata vihela au kacheo kakubwa kidogo, maweee! Hapo ndo hutamsikia kabisaaaa wakati huku mitandaoni ulishakaribishwa vizuri na kwa mbwembwe kubwa ikiwa ni pamoja na picha za nyumba mpya na maprado. Ubinadamu kwishnei !!!Hahahaa!
Ilishakutokea?
Sio kwangu aisee, sipendi uongo uongo, napenda sana wageni.
Polee! Binadamu tinatofautiana lakini. Siku ukija tena karibu.Nilikuwa huko December/January. Marafiki wengi waligeuka busy ghafla. Uzuri na mimi nilikuwa sihitaji cho chote just kuonana na kujuliana hali lakini huwezi kumpata mtu hata wale ambao niliamini kuwa tuko in good terms kutokana na kusaidiana kwa muda mrefu. Na usirogwe ikitokea akawa kapata vihela au kacheo kakubwa kidogo, maweee! Hapo ndo hutamsikia kabisaaaa wakati huku mitandaoni ulishakaribishwa vizuri na kwa mbwembwe kubwa ikiwa ni pamoja na picha za nyumba mpya na maprado. Ubinadamu kwishnei !!!
Wabeja !!!Polee! Binadamu tinatofautiana lakini. Siku ukija tena karibu.
[emoji106]Wabeja !!!
Amani kabisa, hofu kwako KKBoss Boss kumradhi notification hahikufika mapema. Niaje lakini
Nalala. Muwe na usiku mwema/mchana mwema..