Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kumaliza Top Four si kitu cha kujifariji kwa Mourinho hasa kutokana na usajili mkubwa aliofanya katika kikosi hicho ambacho kimsingi kilipaswa kuwa tishio kuanzia England hadi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Kutokana na hilo, wachambuzi wa masuala ya soka wanaamini kwamba kitu pekee ambacho Mourinho atajitetea na kumfanya ajira yake isihusishwe na kufutwa huko Old Trafford basi walau abebe tu taji la Kombe la FA na pengine kuwakomea pia Man City kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu England mbele yao wakati watakapomenyana mapema mwezi ujao huko Etihad.