Achana na Simba wanaowakabili Al Masry walitoshana nao nguvu kwa mabao 2-2 nyumbani wiki iliyopita, huko Gaborone, nchini Botswana nako, Vijana wa Jangwani, Yanga chini ya Kocha Mzambia, George Lwandamina wapo mguu sawa kuwaduwaza wenyeji wao, Township Rollers, hapo jioni tu kabla hata kuka hawajalala.