Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lakini, kabla hata hajafungua shampeni kushangilia ubingwa, kocha Ferguson aliamua kustaafu na kumwaacha Van Persie akiwa bado ana njaa zaidi ya mafanikio. Kisha akaja David Moyes na baadaye Louis Van Gaal, ambao wote walishindwa kumtumia vyema staa huyo ili acheze soka lake la kiwango cha juu kama alivyokuwa chini ya Ferguson.