Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Ho chi minh naamn uwe nikatia umeme...Cole Wiliam anataka na kwako pia?
Mtumish HOPE ninashida na hudumaAmen amen tumshukuru yeye aliye juu...anaweza yote
Teh teh ndjshaghsbsdbd*@^#&$*@^?Gjxyodoyof7duouo677d8f7p7
Jfyfifod9Teh teh ndjshaghsbsdbd*@^#&$*@^?
Hata mimi nilimkosa kumbe yupo. Niliongea na ile avatar ya juzi na nilianza kuamini kuwa pengine ni yeye kumbe leo kaja kivingine. Hizi avatar zinatufanya tunajenga personality ya mtu kupitia kwazo na zinapobadilika kisaikolojia inabidi tuanze upya!Mkuu sometimes najiuliza upo kumbe avatar umebadili
Anatamani ya kwenye pikipikiYa aina gani?
LikesHodii...
Pita salamaNapita tuh... [emoji889]
Kweli kabisa maana muda naona hii raia active ni Nani kumbe Mark msueHata mimi nilimkosa kumbe yupo. Niliongea na ile avatar ya juzi na nilianza kuamini kuwa pengine ni yeye kumbe leo kaja kivingine. Hizi avatar zinatufanya tunajenga personality ya mtu kupitia kwazo na zinapobadilika kisaikolojia inabidi tuanze upya!
Nijaribu nife halafu nikose likes? We vipi bana?Kama post ilivyo nime'share'. Kuamini au la ni kujaribu mwenyewe kula ndizi na yai! Kila la kheri