Let's hear it....My confession
Usher
Let's hear it....My confession
Usher
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Let's hear it....
Umenikumbusha bro. Kuna channel moja ya mambo ya anonymous confessions ilibidi nikimbie bro. Watu wana-confess mambo ya kushangaza mpaka unashangaa. Watu wamegegeda dada zao, mama wadogo, mashangazi, mabosi, walimu wao...na wengine wamegegedwa na wachungaji, malandlord, vichaa...Wengine wachawi, wengine walishawahi kuua, kudhulumu na uchafu wa kila aina. Nilijiona kumbe mi mtakatifu kabisa japo dhambi ni dhambi tu....