Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kocha ambaye anaweza akawatoa mchezoni wapinzani, lakini anajiamini na yupo vizuri kiufundi, hilo linatokana na namna ambavyo timu yake inacheza,” anasema.
 
Novatus Lufunga

Beki wa zamani wa Simba na sasa anaitumikia Lipuli ya Iringa, ameweka wazi anamkubali kocha Jurgen Klopp wa Liverpool, anavyojua kuendeleza vipaji vya wachezaji wake.
 
Kocha Klopp anajua kumpa nafasi kila mchezaji ili ashindwe mwenyewe, ana mbinu na ndiyo maana timu ina vitu vingi kutoka kwake ambavyo navifanyia kazi katika soka langu,” anasema.
 
George Kavila

Ni kiungo mkabaji wa Kagera Sugar, amesema kama kuna kocha wa Ulaya anayemkubali basi ni Jose Mourinho wa Manchester United na alianza kumfuatilia tangu akiwa Porto, Chelsea na Inter Milan. Kitu pekee anachokipenda kwa kocha huyo ni namna ambavyo ana mbinu za kiushindani na kuwasoma wapinzani wake na anaweza akabadili mfumo ili mradi apate matokeo.
 
Hii kwangu inanifundisha lazima mchezaji uwe mwepesi wa kubadilika unapoona timu inalemewa, lakini naamini jambo hilo linaanzia kwenye mazoezi.”
 
Jacob Masawe

Nyota wa Ndanda FC, amemtaja kocha anayemvuta ni Pep Guardiola wa Manchester kutokana na jinsi anavyojiamini na inasaidia kufanya kazi zake kwa usahihi.
 
SHINIKIZO LA DAMU HUSABABISHWA NA NINI?

AINA YA KWANZA: Asilimia 90-95 sababu huwa hazijulikani na kitaalamu huitwa primary or essential hypertension. Ingawa vitu vifuatavyo vimehusishwa kupelekea kupata aina hii ya shinikizo la damu. Navyo ni:
 
-Uvutaji sigara
-Unene (visceral obesity)
-Unywaji wa pombe
-Upungufu wa madini ya potassium
-Upungufu wa vitamin D
-Umri mkubwa
-Chumvi na madini ya sodium kwa ujumla
-Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)
-Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin
 
AINA YA PILI: Asilimia 5 huwa na sababu dhahiri zinazopelekea kupata aina hii ya shinikizo la damu na huitwa kitaalamu secondary hypertension. Na sababu hizi ni:
-Hali ya kukosa hewa usingizini (sleep Apnea)
 
-Kasoro ya kuzaliwa nayo katika mshipa mkubwa wa damu (Coarctation of Aorta)
-Saratani za figo (wilm’s tumor, renal cell carcinoma)
-Saratani ya tezi iliyo juu ya figo (pheochromocytoma)
Ujauzito – wapo wakina mama wajawazito ambao hupata shinikizo la damu na huwa hatarini kupata kifafa cha mimba (eclampsia)
-Magonjwa ya figo (renal artery stenosis, glomerulonephritis
 
DALILI ZAKE
Mara Nyingi Huwa Hamna Dalili Zozote, Na Kama Zikiwepo Mgonjwa Huwa Na Dalili Zifuatazo:
-Uchovu
-Maumivu Ya Kichwa
-Kuhisi Mapigo Ya Moyo Kwenda Haraka
-Kichefuchefu
-Kutapika
-Damu Kutoka Puani
-Kutoweza Kuona Vizuri (Blurred Vision)
-Kusikia Kelele Masikioni
-Na Mara Chache Kuchanganyikiwa
-Kupoteza Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Upungufu Wa Nguvu Za Kiume
 
MADHARA YANAYOWEZA KUELETWA NA SHINIKIZO LA DAMU
-Kiharusi
-Moyo Kushindwa Kufanya Kazi ( Congestive Heart Failure)
-Madhara Katika Mshipa Mkubwa Wa Damu Ambapo Ukuta Wa ndani Huchanika Na Damu Hukusanyika Katika Ukuta Wa Mshipa huo(aortic Dissection)
--Magonjwa Ya Mishipa Ya Damu
-Kushindwa Kuona
-Athari Katika Ubongo
-Kupungua Nguvu Za Kiume
 
JINSI YA KUZUIA SHINIKIZO LA DAMU
-Chakula cha afya kisicho na mafuta mengi na chenye madini ya potassium kitaalamu kinaitwa DASH diet (dietary approaches to

stop hypertension)
-Mazoezi mara kwa mara- angalau nusu saa kwa siku
-Kwa wavutaji sigara kuacha kuvuta sigara
-Punguza au kama unaweza acha unywaji wa pombe ( kwa wanaume angalau bia 2 kwa siku na wanawake bia 1)
Punguza utumiaji wa chumvi hasa ya kuongeza mezani (usitumie zaidi ya gramu 1.5)
 
Back
Top Bottom