Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Je! Unafahamu kuwa kucha zako zinaweza kukujulisha kuhusu afya yako? Zinaweza kukujulisha tatizo katika ini, mapafu na hata moyo wako. Tumekuwekea hapa maelezo ya kutosha ya namna muonekano wa kucha zako unavyoweza kukujulisha kuhusu afya yako.
 
Reactions: Soe
Pale Nail
Endapo rangi ya kucha zako ikiwa kama imefifia hivi basi kunawezekano mkubwa wa kuwa na tatizo la ukosefu wa damu, vile vile inaweza kuwa natitzo la kisukari au magonjwa ya Ini
 
Reactions: Soe
White Nails


Ukiwa na kucha rangi nyeupe alafu zimezungukwa na weusi inasemekana utakuwa na tatizo la ugonjwa wa Ini (Hepatitis). Pia inaweza kuwa ni tatizo la figo au ukosefu wa virutubisho mwilini hasa Protini.
 
Reactions: Soe
Yellow Nails


Endapo kucha zako zikiwa na muonekano wa rangi ya njano basi utakuwa unatatizo la fangasi kwani ndiyo chanjo kikuu cha kucha kuwa za njano. Lakini pia unaweza kuwa na tatizo la Tezi. Tafiti zinaonesha kuwa Tezi hili la shingoni husababisha kucha kutokuwa na afya zuri kwani thyroid homoni zinasababisha kucha kutengana na ukuta (mzizi wake) hivyo kupelekea kucha kushindwa kukua vizuri matokeo yake muonekano wa kucha unakuwa ni kama kwenye picha.
 
Reactions: Soe
Ublue katika kucha nalo ni tatizo, hii inawezekana ukawa na tatizo katika mfumo wa hewa. Kuwa na kucha za rangi ya blue ni matokeo ya ukosefu wa oxygen katika kucha zako. Hii inasababishwa na kuwa na mzunguuko mdogo sana wa damu hasa katika maeneo ya baridi sana. Kuwa na mzunguuka mdogo wa damu kunasabosha damu isifike katika maeneo yote ya mwili kwa kiasi kinachohitajika.
 
Reactions: Soe
Rippled nails.


Endapo utaona kucha zako ziko na vidoti vidoti kama inavyonekana kwenye picha na ngazi chini ya kucha inaonekana kama nyekundu basi wewe utakuwa na dalili za mwanzo za fangasi katika ngozi (Psoriasis). Hii inasababisha seli za ngozi ya juu kufa. Mara nyingi Psoriasis inatokea kwenye ngozi, kucha, viwiko (elbow) na magoti.
 
Reactions: Soe
Dark lines beneath the nails.


Wataalamu wa afya wanasema kuwa endapo kucha zako zikionesha mstari mweusi kama ilivyokwenye picha, fanya haraka kutafuta hospitali kwa vipimo zaidi. Kuwepo kwa mstari huo mweusi ni dalili tosha za melanoma (Moja ya kansa mbaya sana za ngozi)

Inashauriwa kuwa ili tuweze kugundua rangi hii basi tusiwe tunapaka rangi za kucha kila mara. hii itatusaidia kutofautisha kati ya rangi za kucha na mstari huo. Vile vile kucha zikipata mwanga wa jua inakuwa rahisi kugundua rangi hizo na mwanga wa jua huwa haupiti kama kucha imepakwa rangi.
 
HITIMISHO.
Muonekano wa kucha ni njia rahisi kutambua afya yako lakini wakati mwingine si kila mwenye kucha nyeupe sana basi atakuwa na tatizo la ini. Pale unapohisi tu muonekano wa kucha zako umekuwa tofauti na ulivyouzoea basi fanya mpango wa kumuona daktari kwa ushauri na uangalizi zaidi.
 
Kwa afya njema ya kucha, mwanamke pia anashauriwa asifungue pini za barua au kukwangua vocha za simu kwa kutumia kucha. Kucha zisikatwe kwa kutumia meno na zisilowekwe kwenye maji kwa muda mrefu hasa pale maji hayo yanapokuwa na kemikali au sabuni. Kwa ajili ya afya njema ya kucha za miguuni, ni muhimu kuhakikisha kuwa, viatu kabla ya kuvaliwa vinakuwa vikavu na safi kabisa. Viatu visipotumiwa pia vihifadhiwe sehemu kavu isiyo na vumbi, maji au unyevunyevu ili kuepusha visiwe makazi ya kuvu (fungus) wanaoshambulia kucha.
 
Reactions: Soe
Rangi za kucha zimekuwa ni nakshi bora kwa muonekano bora wa vidole vya mwanamke. Wanawake siku hizi kupaka rangi kucha imekuwa ni moja ya njia wanayofurahia kuonesha urembo wao.
 
Waafrika tuna vitu vingi vya kujivunia kimoja wapo ni mavazi ya kuvutia yenye ubunifu wa tofauti. Malighafi moja wapo ambayo asili yake ni Africa ni Kitenge. Vazi la kitenge si wengi tunapenda kutumia lakini hakika ni vazi maridadi sana likibuniwa vizuri. Huvutia si kwa kina dada tu hata kwa wanaume. Mara nyingi hupenda kuvaa nguo zenye malighafi za kimagharibi lakini embu angalia hawa kina dada ndani ya vazi la kitenge.
 
Ni vazi ambalo limejizolea umaarufu mkubwa sana hasa kutokana na namna linavyokubalika kwa kila jinsia.

Si mwanaume wala mwanamke wote wanang'arishwa barabara pindi wavaapo vitenge
 
Unataka kutazama video?kusikiliza muziki?kuangalia clips mbalimbali za jambo lolote lile?Unaachaje kuifaham YouTube sasa?Ni apps ya pili duniani kwa kutembelewa na mafanikio.
 
#3 Google Play Store


Wo wo wo Hii haitaki nieleze sana yani ili upate apps kirahisi sasa hivi ni lazima uingie hapa.Hii inashika namba tatu
 
Google Search


Hivi kuna mtu ana smart phone na hakuwahi kutafuta chochote kwa kutumia google?.Hii aihitaji maelezo.Ipo namba 4.
 
Pandora Radio


Hapa Tanzania watu hawaijui ama kama wanaijua basi ni wachache.Hii application unaweza kusikiliza muziki wowote bure.Ijaribu uone utamu wake.
 
Google Maps


Yani ni waafrika tu ama watanzania ndio hatutumii sana hii application lakini kwa nchi za wenzetu hii inatumika kuliko hata Instagram.Inashika namba sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…