Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahah!! Sijui alikuwa na mtazamo gani tu kuhusu kabila hili aisee.
 
Shauri yako watakulima ban, Natamanigi nipate ban sijui kwann[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kunyimana ubuyu si vizuri bhana.
Wanipe tu hiyo ban kwakweli nikapumzike maana pimbi wangu yuko kifungoni sijui hata kafanya nini.
Cc:mods nataka ban[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Halafu wewe upate ban nanii unamwacha na nani hapa?muone[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…