Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Hahaha! Kidogo kidogo.Asante kwa ufafanuzi...
Inaonekana unajua lugha kibao...
Safi sana. Ni nadra sana siku hizi...
Za kibantu kama 5 hivi hazinipigi chenga kwa mawasiliano ya kawaida tu.
Hahaha! Kidogo kidogo.Asante kwa ufafanuzi...
Inaonekana unajua lugha kibao...
Safi sana. Ni nadra sana siku hizi...
Halafu kile ni kijita chepesi tu, kile cha ndani nadhani nikimuongelesha anatoka kapa.
Nilikuambia uje nikufundishe ukajizungusha wee kutoa jibu.Msubhati, Yego ana uoga gani?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ,Unaweza kujikuta unatongoza mwanaume mwenzio
Oujaga mwidabo?Wewe ongea hata cha uvunguni, nisipokupata natumia my life line ambayo iko long distance kutoka hapa Nansio! [emoji1][emoji1]
Nilikuambia uje nikufundishe ukajizungusha wee kutoa jibu.
Hahahaa! Haya bwana, naona umejijengea utetezi mapema.Jamani si unajua siku hizi hakuna vya bure? Nilikuwa napima kwanza wallet yangu kuona kama inaweza kulipia hizo gharama! Hapa kuna kamsemo kanasema, There’s no free lunch in Nansio. Nadhani kameniharibu! [emoji1][emoji1]
Oujaga mwidabo?
Hahaha! nabadilisha swali.Hahaaa, hicho siyo chenyewe aisee! [emoji1][emoji1][emoji1] Halafu hiyo, oujaga mbona ina sound kama Kisukuma?
Kweli tupu bageshi...[emoji2] [emoji2] [emoji2] ,
Nilisema mimi...Kile cha ndani kabisa kile...ndaaaaaaaaniiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa, hicho siyo chenyewe aisee! [emoji1][emoji1][emoji1] Halafu hiyo, oujaga mbona ina sound kama Kisukuma?
Hahaha! nabadilisha swali.
Ougendaga mwidabo?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] .Nilisema mimi...Kile cha ndani kabisa kile...ndaaaaaaaaniiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]