Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Asante kwa ufafanuzi...Halafu kuna wajita wanaoishi Ukerewe na wajita wanaoishi Musoma, Mjita wa ukerewe pia kuna maneno baadhi hatomuelewa yule wa Musoma.
Umegeuka Yegomasika ghafla.
Usiogope bwana.
Subiri KaYego kakija. Kaongeleshe kile Kikerewe cha ndani kabisa kama cha siku ile...
Tufurahi na kucheka. Ndivyo inavyopaswa kuwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]