myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes
Subiri KaYego kakija. Kaongeleshe kile Kikerewe cha ndani kabisa kama cha siku ile...Umegeuka Yegomasika ghafla.
Usiogope bwana.
Kile sio kikerewe, ni kijitaSubiri KaYego kakija. Kaongeleshe kile Kikerewe cha ndani kabisa kama cha siku ile...
Tufurahi na kucheka. Ndivyo inavyopaswa kuwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Halafu kile ni kijita chepesi tu, kile cha ndani nadhani nikimuongelesha anatoka kapa.Subiri KaYego kakija. Kaongeleshe kile Kikerewe cha ndani kabisa kama cha siku ile...
Tufurahi na kucheka. Ndivyo inavyopaswa kuwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kijita na Kikerewe vina tofauti kubwa? Au ni sawa na Kisukuma na Kinyamwezi?Kile sio kikerewe, ni kijita
Hazitofautiani sana, kuelewana mwaelewana, ingawa kuna maneno baadhi hawataelewana.Kijita na Kikerewe vina tofauti kubwa? Au ni sawa na Kisukuma na Kinyamwezi?
Nilikuwa natumia kamusi ya Kikerewe na mizizi ya maneno ni ile ile...
Halafu kuna wajita wanaoishi Ukerewe na wajita wanaoishi Musoma, Mjita wa ukerewe pia kuna maneno baadhi hatomuelewa yule wa Musoma.Hazitofautiani sana, kuelewana mwaelewana, ingawa kuna maneno baadhi hawataelewana.
Kikerewe na kihaya ndo naona kama vinakaribiana sana.