Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha
Nimechoka kubishana kimwili sasa napiga kwenye ulimwengu wa roho!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiruuuuu...
Haki ya Mola wangu...
Karibu sana. Naomba na mzee wa liver arudi maana nae alijipiga BAN kukuunga mkono...
Good morning[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Matumizi ya Wi-Fi bandia zinazolingana na Wi-Fi za bure zinazopatikana maeneo tofauti zimeelezwa kuwa chanzo kikubwa cha wizi unaofanywa kwenye akaunti za benki kwa njia ya mtandao.

Hilo limebainishwa na kampuni ya kimataifa ya Invostec inayohudumia benki na miradi mingine mikubwa duniani.
 
Kufanikisha uhalifu wao, hutengeneza Wi-Fi inayofanana na rasmi iliyopo kwenye eneo husika. Kama upo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa OR Tambo kwa mfano, na Wi-Fi yake halisi ni OR Wi-Fi ambayo nenosiri (password) lake ni ORpass mhalifu hutengeneza yake na kuiita OR Free Wi-Fi na kutumia nenosiri linalofanana na la Wi-Fi halisi yaani ORpass,” amesema Hogan.
 
Akizungumza kwenye mkutano wa waandishi wa habari kuhusu uhalifu wa kiuchumi uliofanyika jijini hapa, amesema changamoto yoyote itakayojitokeza kwa mteja pindi anapojiunga na Wi-Fi ya mahali kama vile uwanja wa ndege au hoteli ya kitalii na ukumbi wa mikutano, humshawishi kutumia Wi-Fi pacha ambayo huwa haichelewi kumuunganisha kwenye intaneti.
 
Akishapata taarifa hizi, mhalifu anaweza kuitumia akaunti yako atakavyo. Anaweza kutumia kadi yako ya mkopo (credit card) pia kwani tayari anakuwa anafahamu jina lako kutokana na baruapepe alizozisoma, nakala za vitambulisho, stakabadhi ya mshahara au hawala za fedha,” amesema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…