Post wale mbwa kwenye kila thread inayoshabikia maandamano, utakula bam tu!Kunyimana ubuyu si vizuri bhana.
Wanipe tu hiyo ban kwakweli nikapumzike maana pimbi wangu yuko kifungoni sijui hata kafanya nini.
Cc:mods nataka ban[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu wewe upate ban nanii unamwacha na nani hapa?muone[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Precisely, na ni dhambi kubwa!26/4 huo ni uhaini
Afadhali. Karibu tena sis..Hahahaha
Nimechoka kubishana kimwili sasa napiga kwenye ulimwengu wa roho!
Mods wamezidi duh !!!Wewe!