Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipumxike angalau kidogo nanii atabaki hapa na bhangeshi wake wabonge kikoromije...


Polee maaa ngoja nkuitie pruner
Cc. Pruner carba anaomba ban huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jakitooo...!!!

Wewe ni mimi na mimi ni wewe....

Always remember that [emoji9][emoji11][emoji8][emoji10][emoji10][emoji8][emoji11][emoji9][emoji9]
 
Kunyimana ubuyu si vizuri bhana.
Wanipe tu hiyo ban kwakweli nikapumzike maana pimbi wangu yuko kifungoni sijui hata kafanya nini.
Cc:mods nataka ban[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Halafu wewe upate ban nanii unamwacha na nani hapa?muone[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pimbi wamemkamata? Sasa pimbi utafanyeje? Maisha bila pimbi yatawezekana kweli?
 
IMG-20180318-WA0018.jpeg
 
Tuliteseka sana. Akirudi anajisifia kuwa mali yake analinda mwenyewe na viparabo vya kejeli kibao....shuaiiniii yuleee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom