Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sio homoni za kike hizo kweliWanaume wanajifanya wanawake
Kwema bro
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sio homoni za kike hizo kweliWanaume wanajifanya wanawake
Bro bro nini tenaNi hatari sana...
Duh!!!Unaweza kujikuta unatongoza mwanaume mwenzio
Aisee..Tuwe na tahadhari
Nimesoma hapo Gamboshi primary ujue....ohooo !!!Hahaha! Nipo hapa kijiji kimoja wanakiita GAMBOSHI
Maandaeitini wanahangaika sana na haya mambo ya mtandao. Hata wasipochinjwa kimwili lakini wanaweza kuchinjwa kisaikolojia...Mtu unafunguka wee kumbe jitu dume linakuchora tu. Unatuma mpaka na mapicha na mampesa. Siku ya siku linakuanzishia uzi na screenshot juu...[emoji23][emoji23][emoji23]
Muwe makini tu kwakweli,si kila pm ni yakuingia kichwa kichwa,mtachinjwa
Ushaweka namba yako hapa au mnapeana PM? Tinejazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1545]
Pimbi kawaje? Kalimwa ban?Muite tu maa,roho yauma yaani pimbi[emoji23][emoji23]sikutegemea.
Hanaga povu na mtu masikini.
Paw atapendeza zaidi maana yule hacheleweshi[emoji23][emoji23]
hehehe hiyo ni siriUshaweka namba yako hapa au mnapeana PM? Tinejazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1545]