andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji124] [emoji124] [emoji124] nani kamwaga pombe yangu, nauliza...[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji444] [emoji443]Mmmh
[emoji124] [emoji124] [emoji124] nani kamwaga pombe yangu, nauliza...[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji444] [emoji443]Mmmh
Ndiyo Best mzima weye!? Have a great Monday.
Sawa tu hahahahI was in a dream and the red devils were chasing me, immediately I shouted sevilla. They disappeared!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahNumbisa aione hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamwe usimwamini mtu...
Enheeee anonymous forever hahahahMtandaoni hapa
Wanaume wanajifanya wanawake
KabisaaaaUnaweza kujikuta unatongoza mwanaume mwenzio
...Au mwanamke mwenzio
Ni hatari sana...
Word!Tuwe na tahadhari
HahahahahahMwidabo? Yaani hili neno ndio nalisikia leo kwa mara ya kwanza! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Saafi yego kapatikana. Andaeitin ni andaetin tuYuko deep aisee! Hata kama kakulia town lakini nadhani mda mwingi alikuwa anaishi huko Ukerewe! Lakini kama cha kwetu hiki cha kisubiri wageni toka huko waje kuwatembelea home, huoni ndani! [emoji23][emoji23]
DuhNiko makini sis....
Dume hata ajiite Khadija nitamgundua tu. Unakumbuka ile Psychological profile niliyokwambia? Mpaka pointi ya kumi nitakuwa nimeshajua jinsia ya mtu kwa uhakika hata kama awe jike dume.
Hahahaa[emoji124] [emoji124] [emoji124] nani kamwaga pombe yangu, nauliza...[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji444] [emoji443]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Saafi yego kapatikana. Andaeitin ni andaetin tu
Hahahqhah jaman[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata akimiliki topaz atabaki kuwa hivyo tu