Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kiungo wa kati Nemanja Matic amesema kuwa viwango vya juu vya kocha Mourinho vinaweza kumfanya kuwa vigumu kufanya kazi naye lakini akaongeza kuwa anafurahia kucheza chini ya usimamizi wa raia huyo wa Ureno (Independent)
 
Nahosha wa Paris Saint-Germain Thiago Silva anasema kuwa ana hakika kwamba mshambuliaji wa Brazil Neymar atasalia katika klabu hiyo, licha ya mchezaji huyo kuhusishwa na uhamisho wa kwenda Real Madrid.(Canal+ via ESPN)
 
Aliyekuwa beki wa Arsenal na Uingereza Sol Campbell anasema kuwa amefanyiwa mahojiano ya kuwa mkufunzi wa klabu ya Grimsby Town lakini akafurushwa na klabu hiyo ya daraja la pili kwa ukosefu wa uzoefu.. (Sky Sports)
 
Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili ,Wigan Athletic waliondoshwa na Southampton katika michuano hiyo kwa kichapo cha bao 2-0 , huku Chelsea wakichomoza na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Leceister city kwa magoli ya Alvaro Morata na Pedro Eliezer Rodríguez akifunga katika muda wa nyongeza baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika
Kwa matokeo hayo Southampton na Chelsea zinaungana na Manchester United na Tottenham katika hatua ya nusu fainali,ambapo Chelsea itaivaa Southampton na Manchester United itachuana na Totenham.
 
Manchester United ilifanikiwa kutinga Hatua ya nusu fainali baada ya kupata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Brighton kwa magoli ya Romelu Lukaku na Nemanja Matic huku Southampton wakisonga mbele kwa ushindgi wa bao magoli 3-0 dhidi ya Swansea city.
 
Hahaa, naona kuna macall girls humu wa bei mbaya. Kama wanaoruka na ma Congressmen kule DC! Bila $3000 hujaletewa bado!
Kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake. Ma-crack head huko huko DC hata $5 unapata tu. Na hawa malaya wanaoslei IG dola 100 -500 wapo kibao na wengine ni wale treasurer wa CHAWAMITA anawaweka hapa. Maporn stars waliochuja pia walikuwa huko Craiglist kibao wanajiuza.

JF hapa ubaya hawaeleweki. Huko maporini angalau wengine wana sites zao na wengine wana maajenti kabisa. Sasa sisi huku mtu unadhani unakwenda kukutana na The Bosy Lady kumbe ni mjaluo Erick Otieno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom