Yaani sikuwahi kufikiria kabisa watu kufikia hatua ya kuvuana pichu bila kujuana hata siku moja...
Kwenye uzi ule kuna jamaa anasema alikubaliana na msichana wakabinjuane,kilicho wafanya washindwe bidada alitaka sh.100'000 ya nauli...
MGUMU umenichekesha mnooHahaa, naona kuna macall girls humu wa bei mbaya. Kama wanaoruka na Congressmen kule DC! Bila $3000 hujaletewa bado!
SaafiHahaha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Zaidi bhana mi kukupa ww likes ni kama JPM
na hapa Kazi tu
Hahahaaa na wineAfadhari, huyo niachie nimpe tuisheni mwenyewe..Nahisi itakuwa nzuri zaidi lecture room ikiwa na maua tele, apate kuelewa kiurahisi.
MzimaMm safi kabisa.. Wewe je. Mvua ipo kwenu
Karibu ule vya jirani..Mzima
Mvua ilikuwepo asubuh,saiv hata wingu hakuna
Japo kwetu hakuna sato..Mzima
Mvua ilikuwepo asubuh,saiv hata wingu hakuna
Jamaniiiii !!!!
Yego umeanza kutafuta visingizio sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]