Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afadhari, huyo niachie nimpe tuisheni mwenyewe..Nahisi itakuwa nzuri zaidi lecture room ikiwa na maua tele, apate kuelewa kiurahisi.
Mwakaleli uko wapi leo shemeji? Njoo ukaone kaYego huku. Evenchuale kamekaribishwa tuisheni kwenye lekcha rumu yanye maua tele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I’m telling you, Bro! Watu wana mean business humu! Nanihii zinachojolewa na kurushwa Kwa miguu pembeni huko kama mchezo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani sikuwahi kufikiria kabisa watu kufikia hatua ya kuvuana pichu bila kujuana hata siku moja...
Kwenye uzi ule kuna jamaa anasema alikubaliana na msichana wakabinjuane,kilicho wafanya washindwe bidada alitaka sh.100'000 ya nauli...
 
Back
Top Bottom