Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Beyonce
Ngoja nijifunze kukuletea vimauaKabisa kijana mpole
Jaman jaman hahaha sipend vimauaNgoja nijifunze kukuletea vimaua
Wine je ??Jaman jaman hahaha sipend vimaua
HahahahhaNalombaga juice - niliomba juisi...(wakati uliopita). Hata sijui ulitaka kusema nini. Sad [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
LikesWine je ??
Au Balimi
Hahahaha kila siku unamsema yego leo tu ndo naona unamsifia aiseeee yegoo kalewe wine za kutosha leoHapana. Nyie (wewe, Carba, Jakitoo na kizazi chenu hiki kisicho na identity) kamwe hamuwezi kujilinganisha na Yego. Kijita siyo lugha yake na hata kujua kiasi anachojua ni jambo la kutia moyo sana. Mpeleke kwenye Kikoromije na Kikerewe uone muziki wake...
Leave Yego alone...
Upo vizuriLakini pia ubanduaji wa magome ya miti uliokithiri unasababisha mti ukauke, Mbanduaji huondoa tissues zinazojihusisha na usafirishaji wa chakula (Phloem)
Vile vile hata ukataji wa mizizi husababisha usafirishaji wa maji kuwa tatizo hivyo pia kupelekea mti kufa..kwasababu huua tissue zinazobeba dhamana hiyo.(Xylem)