goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
WCB rockstar4000 airplane.[emoji574]Sasa hiyo ndege haitaitwa WCB..
Itabidi watafute jina la muungano huo.
WCB rockstar4000 airplane.[emoji574]Sasa hiyo ndege haitaitwa WCB..
Itabidi watafute jina la muungano huo.
Nalombaga juice - niliomba juisi...(wakati uliopita). Hata sijui ulitaka kusema nini. Sad [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sana ya buyenze alikua anatutolea mfano wewe tu kila siku,shukran pyaar kwa kuja na kumuweka kapu moja na sie huyu yego kutiki hahahaah
Nalombaga juisi hahahah ninajua bana
Nalelomba juisi (kama ni Kikoromije). Ijuisi kama ni Kijita, Kikerewe, Kihaya na lugha zingine zinazozunguka Ziwa Nyanza.Hahaha!
Nalelombaga ijuisi.
Hapana. Nyie (wewe, Carba, Jakitoo na kizazi chenu hiki kisicho na identity) kamwe hamuwezi kujilinganisha na Yego. Kijita siyo lugha yake na hata kujua kiasi anachojua ni jambo la kutia moyo sana. Mpeleke kwenye Kikoromije na Kikerewe uone muziki wake...Sana ya buyenze alikua anatutolea mfano wewe tu kila siku,shukran pyaar kwa kuja na kumuweka kapu moja na sie huyu yego kutiki hahahaah
Nalombaga juisi hahahah ninajua bana
Unabisha tu hodi na siasa tayari tayari...Pipoooooziii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini pia ubanduaji wa magome ya miti uliokithiri unasababisha mti ukauke, Mbanduaji huondoa tissues zinazojihusisha na usafirishaji wa chakula (Phloem)Kuna usemi usemao MISITU NI UHAI ambao nina uhakika kila mtu anaujua vema, swala kubwa hapa ni jinsi ya kuitunza hii rasilimali ya asili tuliyopewa na mungu. Misitu yetu ambayo tunaitegemea kwa mambo mengi sana siku hizi imekuwa ikikatwa miti yake kwa ajili ya matumizi mbali mbali kama mbao na kuni, matumizi mengine kama dawa huwa hayana athari sana kwa misitu kwa sababu mtumiaji huchukua sehemu tu ya mti.
Mhola doho
Lomela kiswahili nakimanile getegete hahahaha
Hakuna Wapare humu mje mjitetee...Mshana Jr yuko wapi?
Jamaniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amen. Nimeshawaambia hapo juu pia. Maandaeitini hawajui hata salamu eti wanajiliniganisha nawe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa! Eti kapu moja, hapana kabisa! Wewe yaani uko kapu la peke yako! [emoji1][emoji1]
Mmmh jamanAmen. Nimeshawaambia hapo juu pia. Maandaeitini hawajui hata salamu eti wanajiliniganisha nawe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]